Posted on: October 31st, 2019
Wakulima wa Korosho Wilaya ya Tandahimba na Newala leo wameuza Korosho zao tani 13,181 kwa bei ya juu ya shilingi 2,526 kwa kilo moja huku bei ya chini ikiwa shilingi 2,468 kwenye mnada wa kwanza wa c...
Posted on: October 17th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo, leo tarehe 17/10/2019 amefungua rasmi kampeni ya kitaifa ya kutoa chanjo ya Surua Rubella na Polio kwa Halmashauri ya Wilaya ya Newala.
Uzinduzi huo ...
Posted on: October 17th, 2019
Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Newala zahamia rasmi Kitangari leo tarehe 17/10/2019.
Hii ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli ...