Majukumu ya Idara ya Utumishi na Utawala
1. Kuratibu masuala ya Itifaki na mapokezi ya wageni
2. Kudhibiti Ikama ya watumishi
3. Kushughulikia stahili za watumishi
4. Kusimamia ajira, nidhamu za watumishi na maadili ya viongozi
5. Kufuatilia masuala ya Utawala bora
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa