Majukumu ya Idara Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
1. Kuratibu mipango na bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala.
2. Kuandaa mipango mikakati ya miradi mbalimbali ya maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala.
3. Kuratibu na kuandaa taarifa mbalimbali za miradi na shughuli za Halmashauri.
4.Ukusanyaji, uchambuzi, usambazaji na utumiaji wa takwimu mbalimbali za maendeleo ya Halmashauri.
5. Kufuatilia, kusimamia na kufanya tathmini ya miradi ya maendeleo ya Halmashauri.
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa