Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Maendeleo ya Jamii

Idara ya maendeleo ya jamii ina lengo la kutoa huduma kwa jamii ili kuwezesha jumuiya kuunda, kupanga, kutekeleza na kufuatilia shughuli zao za maendeleo ya kiuchumi na kuwa na maendeleo endelevu. Pia kutoa ujuzi wa maendeleo ya jamii, usawa wa kijinsia na kiumri.

Majukumu ya Idara ya Maendeleo ya Jamii

  1. Kupitia mbinu shirikishi kuiwezesha jamii kuanzisha miradi ya kijamii.
  2.  Kuelimisha viongozi wa serikali ya vijiji, dini na mashirika yasiyo ya kiserikali kuhusu sera mbalimbali za Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto.
  3.  Kuwawezesha wananchi kupambana na mila zenye madhara kwa afya za wananchi hasa kwa wanawake na watoto wa kike, kuenea kwa virusi vya Ukimwi na magonjwa ya mlipuko.
  4. Kutoa huduma kwa jamii kwa vipengele vya Ustawi wa Jamii na msaada wa kisaikolojia.
  5. Kutoa elimu juu ya kupambana na Virusi vya Ukimwi (VVU) na ugonjwa wa Ukimwi pamoja na kutoa msaada kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi.
  6. Kuwezesha na kuimarisha shughuli za mfuko wa wanawake na vijana kwa kuvipatia mkopo wa masharti nafuu kwa vikundi vya kiuchumi.
  7. Kuratibu maadhimisho ya sherehe mbalimbali za kitaifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • NEWALA DC YATOA SHUKRANI KWA MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

    June 04, 2025
  • Utekezaji wa Ujenzi mpya ya Sekondari Mtunguru

    May 29, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    May 29, 2025
  • UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

    May 27, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa