Shughuli za kiuchumi za Halmashauri ya Wilaya ya Newala ni pamoja na kilimo, viwanda na ujenzi. Kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, uchumi wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala unaongozwa na sekta ya kilimo ambayo inaajiri zaidi ya asilimia 87 ya idadi ya wakazi wa Newala na inachangia asilimia 46.8 ya jumla ya pato la taifa ikilinganishwa na shughuli za viwanda na ujenzi ambazo zinachangia asilimia 5.4 ya jumla ya pato la Taifa kwa Mkoa wa Mtwara.
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa