Majukumu ya Idara ya Ujenzi
1.Kusimamia na kutoa ushauri wa kitaalam kwenye kazi za ujenzi wa majengo katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Newala.
2.Kuandaa makadirio ya gharama za ujenzi kwenye miradi ya majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala.
3.Kuandaa taarifa mbalimbali zinazohusiana na masuala ya majengo ya Halmashauri.
4.Kufanya matengenezo mbalimbali ya mifumo ya umeme katika majengo na miradi ya Halmashauri.
Idara inafanya kazi kufuata miongozo inayotolewa na wizara husika.
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa