Posted on: May 20th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Newala Newala Mhe. Aziza Mangosongo leo tarehe 20/05/2021 amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa dawa za kichocho na minyoo ya tumbo kwa watoto wa shule za msingi zilizopo kwenye Halmas...
Posted on: May 7th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo leo Ijumaa tarehe 07/10/2021 amekabidhi pikipiki 10 kwa vijana wa kikundi cha bodaboda Kitangari Hospitali waliopatiwa pikipiki hizo na Halmashauri ya Wi...
Posted on: May 5th, 2021
Katika utekelezaji wa Utawala bora, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipatia Halmashauri ya Wilaya ya Newala shilingi bilioni mbili na milioni mia mbili na kumi (Tsh. 2,210,000,000).
...