Posted on: May 14th, 2020
Wajumbe wa kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo tarehe 14/05/2020 wamefanikiwa kutembelea miradi sita inayoendelea kutekelezwa.
Miradi hiyo ni Ujenzi wa madara...
Posted on: April 30th, 2020
Kuelekea zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili linalotarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 2 hadi 4 Mei 2020, Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo imetoa mafun...
Posted on: March 26th, 2020
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo Alhamisi tarehe 26/03/2020 wamepatiwa mafunzo elekezi ya ujazaji wa mfumo wa wazi wa mapitio na tathmini ya utendaji kazi (OPRAS) kwa menejimenti na wa...