• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

TEHAMA na Uhusiano

Jukumu kubwa la kitengo hiki ni kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya Halmashauri. 

Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:

  • Habari na uhusiano
  • TEHAMA

Majukumu ya Kitengo

  • Kuandaa miadi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari
  • Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na Halmashauri ya Wilaya ya Newala kwa kufuata maelekezo ya Mkurugenzi Mtendaji
  • Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya Halmashauri (machapisho kama vile vipeperushi na majarida )
  • Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya Mkurugenzi Mtendaji na waandishi wa habari.
  • Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za Halmashauri kama vile mikutano ya baraza la madiwani, kutembelea miradi ya maendeleo.
  • Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala inaandaliwa na inafanya kazi.
  • Kuhakikisha Halmashauri ya Wilaya ya Newala inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.
  • Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala (Internal and External Communication)
  • Kusimamia Mifumo yote ya Halmashauri kwa kuhakikisha inafanya kazi ipasavyo
  • Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya TEHAMA kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA January 15, 2021
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 23, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI December 02, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 13, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Kampeni ya kuondoa mashamba pori na kuongeza uzalishaji yafunguliwa rasmi Newala.

    December 08, 2020
  • Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Newala wachagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Halmashauri hiyo

    December 05, 2020
  • Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala watakiwa kuwatumikia wananchi wa Newala kwa uaminifu.

    December 05, 2020
  • Mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu 2020 waapishwa Newala

    October 21, 2020
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa