• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

Posted on: May 27th, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kung'ara kwa uongozi wake thabiti unaojikita katika kuimarisha huduma za afya kwa Watanzania wote. Kupitia Ilani ya CCM, Serikali ya Awamu ya Sita imefanya kazi kubwa ya kuongeza vituo vya afya kutoka 6,081 hadi 7,713 kufikia Aprili 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 26.80. Hili ni jambo la kujivunia kwani linaonesha dhamira ya kweli ya kuwahudumia wananchi.


Kwa uongozi wake mahiri, Mhe. Rais Samia ameihakikishia Tanzania huduma bora za afya kwa kuwekeza katika ujenzi na ukarabati wa Zahanati 1,158, Vituo vya Afya 345, na Hospitali za Halmashauri 129. Hili limeleta mapinduzi makubwa ya upatikanaji wa huduma za afya karibu na wananchi, hasa maeneo ya vijijini ambayo awali yalikuwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya afya.


Uwekezaji huu si wa majengo pekee, bali unakwenda sambamba na utoaji wa vifaa tiba, ajira kwa watumishi wa afya, pamoja na kuimarisha huduma rafiki kwa mama na mtoto. Rais Samia amekuwa kinara wa kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya afya kwa kuwathamini watumishi wa sekta hii muhimu na kuweka kipaumbele ustawi wa jamii.


Kupitia dira yake ya upendo, mshikamano na maendeleo jumuishi, Rais Samia ameweka misingi imara ya afya kwa wote. Matokeo ya kazi yake yanaonekana wazi na kuthibitisha kuwa Tanzania iko katika mwelekeo sahihi wa kufikia huduma bora za afya kwa kila Mtanzania. Hakika, huu ni ushahidi wa kiongozi mwenye maono, huruma, na ujasiri wa kuleta mabadiliko ya kweli.


# UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM UNAONEKANA  KWA ASILIMIA

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Utekezaji wa Ujenzi mpya ya Sekondari Mtunguru

    May 29, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    May 29, 2025
  • UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

    May 27, 2025
  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa