NEWALA DC inaendelea kuwezesha Wananchi kiuchumi ambapo vikundi 54 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu wamepata mikopo ya shilingi million 350.9 kwa Mwaka wa fedha 2024/2025.Fedha hizo ni asilimia 10 ya Mapato ya ndani .
Aidha mikakati na uhamasishaji Wananchi unaendelea ili wajitokeze kukopa fedha kwa ajili ya kuendeshea miradi mbalimbali ya kujiingizia kipato
Kitangari,Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa