Madaktari bingwa wa kinywa na meno wamehudumia wagonjwa 319 kuanzia Machi 14 hadi 19, 2025, katika Hospitali ya Wilaya ya Mchemo iliyopo Newala DC.
Huduma hizi ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kujali afya za wananchi na kufikisha huduma za madaktari karibu na Jamii.
Maadhimisho ya Wiki ya Kichwa na Meno yalifanyika kuanzia Machi 14 na kilele chake Machi 20, 2025.
@ortamisemi
@samia_suluhu_hassan
@mtwarars_habari
@maelezonews
@msemajimkuuwaserikali
@dc_newala
@ccmtanzania
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa