Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Duncan Thebas anawakaribisha watumishi wapya wa idara ya Afya waliopangiwa kufanya kazi katika Halmashauri ya wilaya ya Newala.Ofisi ya Halmashauri ipo Kitangari mjini. Hivyo kwa wanaotoka Dares salaam kwa magari yaendayo Newala mjini wanatakiwa kushuka Kitangari na sio Newala Mjini .
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa