Posted on: April 26th, 2018
Kila tarehe 26 ya mwezi wa nne, Tanzania huazimisha siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa namna tofauti tofauti kwa kila eneo.
Kwa mwaka huu wa 2018, maadhimisho haya yamefanyika kitaifa M...
Posted on: April 29th, 2018
Baraza la madiwani la halmashauri ya Wilaya ya Newala, limewafukuza kazi watumishi 26 wa halmashauri ya Wilaya ya Newala baada ya kuthibitika na makosa mbalimbali ya kiutumishi.
Akithibitisha maamu...
Posted on: April 20th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe: Gelasias Byakanwa ameiomba mamlaka ya elimu Tanzania kutoa uhuru wa kubuni ramani ya nyumba za walimu pale wanapotoa msaada wa miradi hiyo.
Mhe Byakanwa ameyasema hayo W...