Posted on: August 7th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Newala imewarejesha kazini watendaji 56 wa vijiji ikiwa ni pamoja na kuwarejesha katika malipo yao ya mishahara kama ilivyo kawaida.
Akitoa taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji w...
Posted on: July 26th, 2018
Serikali imewaondoa viongozi wasiofaa wa vyama vya msingi vya Newala na Tandahimba katika utendaji wao kufuatia ubadhilifu na kukosa sifa za utendaji katika vyama vya msingi.
Hatua hiyo imefikia ma...
Posted on: July 11th, 2018
Wazazi wote Wilayani Newala, wameaswa kuutambua umuhimu wa Elimu kwa watoto wao ukizingatia kuwa maisha ya sasa yanahitaji taifa lililo elimika zaidi kwa msingi wa maisha.
Wito huo umetolewa na kai...