Posted on: November 12th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo leo tarehe 12/11/2019 amefanya kikao kazi na watendaji wa vijiji, watendaji wa kata, viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS), meneja wa chama k...
Posted on: November 5th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo, siku ya Jumatatu tarehe 04/11/2016 mbele ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) aliwasilisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa ...
Posted on: October 31st, 2019
Wakulima wa Korosho Wilaya ya Tandahimba na Newala leo wameuza Korosho zao tani 13,181 kwa bei ya juu ya shilingi 2,526 kwa kilo moja huku bei ya chini ikiwa shilingi 2,468 kwenye mnada wa kwanza wa c...