Posted on: November 15th, 2024
Watumishi wapya 40 wa idara ya Afya wamepangiwa kufanya kazi katika Halmashauri ya wilaya ya Newala .Halmashauri inatoa shukrani kwa Rais Dkt.Samia kwa kujali Afya za watanzania.
#Kazi iendelee#...
Posted on: November 11th, 2024
NEWALA, MTWARA
Mfumo ulioboreshwa wa usimamizi na uendeshaji wa shughuli za Afya (GOTHOMIS) umetajwa kuwa ufumbuzi wa utendaji kazi nzuri na utoaji wa ripoti sahihi katika vituo vya kutolea h...
Posted on: October 31st, 2024
NEWALA, MTWARA
Halmashauri ya wilaya ya Newala Jana Oktoba 30,2024 imeadhimisha siku ya Lishe kitaifa katika Kijiji cha Makukwe ikiwa na kauli mbiu isemayo "Mchongo ni Afya yako, zingatia una...