Posted on: February 18th, 2019
Bodi ya taasisi ya maendeleo Newala NDF leo imekabidhi rasmi shule ya sekondari kitangari NDF kwa Chuo cha mafunzo ya ufundi stadi VETA Tanzania.
Makabidhiano hayo ya majengo na eneo la shule yamef...
Posted on: February 17th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Newala Bi. Aziza Mangosongo siku ya Ijumaa tarehe 15 Februari 2019 amezindua rasmi zoezi la upandaji wa miti Wilaya ya Newala kwa mwaka huu 2019 katika eneo la shule ya msingi Mtungu...
Posted on: February 14th, 2019
Mkutano wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala wapitisha makadirio ya bajeti ya shilingi bilioni kumi na saba, milioni mia tatu ishirini na nane na elfu tisini na tano (17,328,095,00...