Posted on: May 2nd, 2019
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani kwa Mkoa wa Mtwara yamefanyika siku ya Jumatano tarehe 01/05/2019 katika Wilaya ya Masasi mgeni rasmi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa.
Kati...
Posted on: April 30th, 2019
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Newala lililofanyika siku ya Jumatatu tarehe 29 Aprili 2019 limewapandisha vyeo, kuwathibitisha kazini na kuwabadilisha vyeo vya muundo watumishi 112.
...
Posted on: April 11th, 2019
Afisa elimu taaluma kutoka sekretariet ya Mkoa wa Mtwara Bw. Mahamoud Kambona, amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Newala siku ya Alhamisi tarehe 11 Aprili 2019 na kufanya kikao na watumishi wa ...