Posted on: February 7th, 2020
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo tarehe 07/02/2020 limepitisha makadirio ya bajeti ya shilingi 16,733,517,054 kwa ajili ya kugharamia matumizi mbalimbali ya Halmashauri na ute...
Posted on: February 5th, 2020
Mkutano wa baraza la wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Newala limefanyika leo tarehe 05/02/2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha ualimu Kitangari.
Katika mkutano huo, wajumbe walipitisha...
Posted on: February 4th, 2020
Kamati ya siasa ya Mkoa wa Mtwara ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wa Mkoa wa Mtwara Ndugu Yusufu Nannila leo tarehe 04/02/2020 imefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala.
...