Posted on: July 15th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Newala amewapongeza walimu na wanafunzi waliohitimu kidato cha 6 shule ya sekondari Mnyambe mwaka 2024 kwa matokeo mazuri ya mitihani yao....
Posted on: July 14th, 2024
UZINDUZI wa sherehe za Nanenane Ngongo Lindi utafanyika agosti 1,2024 eneo la Ngongo Lindi .
Wananchi wanahimizwa kujitokeza siku hiyo...
Posted on: July 11th, 2024
NEWALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Newala Ndugu Duncan Thebas amewaomba wananchi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura sambamba na kushi...