Posted on: July 9th, 2020
Wakazi wa kata ya Mkoma II na Nambali leo tarehe 09/07/2020 wamekubaliana kujenga bweni kwa ajili ya watoto wa kike katika shule ya Sekondari Mkoma ili kukomesha utoro na kukuza ufaulu kwenye mitihani...
Posted on: June 9th, 2020
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo tarehe 09/06/2020 limefikia ukomo rasmi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala Bw. Mussa Chimae akiwasilisha taa...
Posted on: June 3rd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa jana tarehe 2/6/2020 ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Newala kwa kupata hati safi ya ukaguzi wa hesabu za mwaka 2018/2019.
Pongezi hizo zimetolewa ...