• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

NEWALA DC YAKABIDHI LAPTOP 20 SHULE YA SEKONDARI MPOTOLA

Posted on: June 19th, 2024

Halmashauri ya wilaya ya Newala, imekabidhi LAPTOP 20 kwa shule ya sekondari Mpotola ikiwa ni msaada kutoka kampuni ya korosho LABDOO ya Nchini Ujerumani ili kusaidia Elimu ya TEHAMA kutokana na kasi ya ukuaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
 LAPTOP hizo zimekabidhiwa na Afisa Mipango II,Ndugu Nguche Nankutwanga,ambaye  pia ni Mratibu wa ushirikiano baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala na Halmashauri ya Manispaa ya landsberg Am lench,kwa niaba ya Mkurugenzi ,katika hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki mwaka huu.
 Namkutwanga amesema msaada huo wa Laptop umelenga kuwasaidia wanafunzi waweze kuzitumia kujifunzia na kwa ajili ya matumizi ya shule.
 Halmashauri ya wilaya ya Newala imeingia ushirikiano na Halmashauri ya Manispaa ya Landsberg Am Lenchi ya Nchini Ujerumani kwa lengo la Kuchochea uwekezaji,kuboresha sekta ya Afya na kukuza uchumi wa Halmashauri.
  Aidha ushirikiano huo  umeleta mafanikio ambapo Halmashauri ya Landsberg Am Lench ya Nchini Ujerumani imepanga  kufanya ukarabati wa vituo viwili vya Zahanati katika Halmashauri ya wilaya Newala ambavyo ni  Mtongwele na Idamnole, Jengo la mama na Mtoto kituo cha Afya Chihangu kwa Mwaka wa fedha 2023/2024 na uwekaji wa umeme Jua(Solar) kwa Mwaka 2025.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Utekezaji wa Ujenzi mpya ya Sekondari Mtunguru

    May 29, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    May 29, 2025
  • UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

    May 27, 2025
  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa