"Kuvunjwa kwa baraza hili siyo mwisho wa dhamira ya kuhudumia wananchi, bali ni fursa mpya ya kutafakari, kujifunza na kuendelea kuwa sehemu ya mabadiliko ya kijamii. Tunawaomba muendelee kuwa mabalozi wa maendeleo, maana uongozi ni wito wa maisha na sio nafasi ya muda tu." — Mhe. Rajabu Kundya, Mkuu wa Wilaya ya Newala akiongea wakati wa kuvunja Baraza la Madiwani Newala DC
Kitangari,Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa