Wanafunzi wa kidato cha nne wanatarajiwa kuanza kufanya mitihani ya kumaliza kidato cha nne siku ya kesho tarehe 04/11/2019.
Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Newala, mitihani hiyo itafanyika katika shule za sekondari 16 zikiwemo shule 15 za Serikali na 1 ya binafsi.
Jumla ya watahiniwa 890 wanatarajiwa kufanya mitihani hiyo kati yao wasichana ni 492 na wavulana ni 398.
Maandalizi yote ya mitihani hiyo yamekamilika kwa asilimia mia moja.
Kila la kheri watahiniwa wote.
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa