Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala ndg.Duncan G.Thebas na wakuu wa idara na vitengo leo tarehe 12/09/2023 wametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la utawala na kukubaliana kwa pamoja kuhamia rasmi tarehe 22/09/2023 siku ya ijumaa.
Aidha Ndg.Duncan amewaagiza wakuu wa idara na vitengo kusimamia zoezi la usafi ili kufanikisha kuhamia.
Kwa sasa jengo linaweza kutumika wakati maeneo yaliyobaki yanaweza kumaliziwa wakati watumishi wakiendelea na majukumu yao .
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa