Posted on: August 25th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo jana siku ya Jumatatu tarehe 24/08/2020 amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Chilondolo kata ya Mtopwa, Halmashauri ya Wilaya ya Newala....
Posted on: August 7th, 2020
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Newala vijijini Bw. Duncan Thebas leo siku ya Ijumaa tarehe 07/08/2020 amefungua mafunzo ya wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata yaliyofanyika katika ukumbi wa...
Posted on: August 4th, 2020
Timu ya menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala pamoja na wawezeshaji 23 jana siku ya Jumatatu tarehe 03/08/2020 wamepatiwa mafunzo elekezi juu ya zoezi la uhakiki wa kaya zilizopo kwenye mpang...