Posted on: January 28th, 2021
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo tarehe 28/01/2021 limepitisha makadirio ya bajeti ya Tsh. 21,196,607,600 kwa ajili ya kugharamia matumizi mbalimbali ya Halmashauri na utekele...
Posted on: January 20th, 2021
Mkutano wa baraza la wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo tarehe 20/01/2021 umepitisha rasimu ya bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 yenye jumla ya ...
Posted on: December 8th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa, jana Jumatatu tarehe 7/12/2020 amefungua rasmi kampeni ya kuondoa mashamba pori na kuongeza u...