Posted on: May 11th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa amefanya ziara ya kusikiliza kero, changamoto na maoni kutoka kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala siku ya Ijumaa tarehe 10/05/2019 kupitia mkutano ...
Posted on: May 4th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Newala imefanikisha uendeshaji wa zoezi la ugawaji wa dawa za tiba na kinga dhidi ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele siku ya Ijumaa tarehe 03/05/2017.
Zoezi hilo lilihusisha...
Posted on: May 2nd, 2019
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani kwa Mkoa wa Mtwara yamefanyika siku ya Jumatano tarehe 01/05/2019 katika Wilaya ya Masasi mgeni rasmi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa.
Kati...