ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA MTWARA WILAYANI NEWALA
Picha ikimuonyesha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala Ndugu Duncan G.Thebas akitoa maelezo mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mtwara,Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh.Meja Jen.Marco Elisha Gaguti