• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2026

Posted on: January 23rd, 2026

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Newala, Bi. Marry Twamgabo, amehimiza ushirikiano na mshikamano kati ya Madiwani, viongozi wa Halmashauri na wataalamu katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kuongeza ukusanyaji wa mapato na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati. Amesema juhudi za pamoja ndizo zitakazowezesha Halmashauri kufikia malengo ya maendeleo endelevu na kutoa huduma bora kwa wananchi.


Akitoa salamu za Mkuu wa Wilaya ya Newala katika Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya pili uliofanyika tarehe 23 Januari 2026, Bi. Twamgabo amewataka Madiwani kuendelea kuhamasisha wazazi na walezi kuhakikisha watoto wanahudhuria shule kwa wingi, akisisitiza umuhimu wa elimu kwa mustakabali wa wilaya hiyo.

“Elimu ndiyo itakayozalisha wataalamu wa baadaye kutoka Newala. Tukiwahimiza watoto wetu kusoma, tutakuwa tunajenga msingi imara wa maendeleo na wasomi watakaoiinua Wilaya yetu,” alisema Bi. Marry Twamgabo.


Mkutano huo wa Baraza la Madiwani robo ya pili mwaka 2026 uliongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Mhe. Sawanina Jaziri Mohamedi, ambaye alitumia nafasi hiyo kuwaasa wataalamu kuzingatia ushauri unaotolewa na Madiwani kupitia vikao vya kamati za kudumu, ikiwemo kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na kuimarisha ukusanyaji wa mapato. Aidha, aliwahimiza Madiwani wenzake kusimamia kwa karibu miradi ya maendeleo katika kata zao ili kuhakikisha matokeo chanya yanapatikana kwa wananchi.

@mtwarars_habari

@msemajimkuuwaserikali

@ortamisemi

@dc_newala

@newalafmtz

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • NEWALA DC YAANZISHA KAMPUNI YA UJENZI KUONGEZA MAPATO

    January 23, 2026
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2026

    January 23, 2026
  • HAPPY NEW YEAR 2026

    December 31, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    December 04, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa