• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

NEWALA DC YAANZISHA KAMPUNI YA UJENZI KUONGEZA MAPATO

Posted on: January 23rd, 2026

Halmashauri ya Wilaya ya Newala imepiga hatua kubwa katika kujitegemea kifedha baada ya kufanikiwa kusajili kampuni yake iitwayo NEWALA BEST BUILDERS AND GENERAL SUPPLY LIMITED COMPANY, ambayo inalenga kuendesha miradi ya ufyatuaji wa tofali na usafirishaji kupitia lori maalum. Kampuni hii imebuniwa ili kuongeza vyanzo vya mapato ya Halmashauri na kupunguza utegemezi wa fedha kutoka serikali kuu.


Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndugu Zefrin Mwenda, wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya pili kilichofanyika tarehe 23 Januari ,2026, miradi hiyo inalenga kusaidia miradi ya ujenzi ndani ya Wilaya kwa bei nafuu na wakati huohuo kuingiza mapato yatakayochochea utekelezaji wa miradi ya maendeleo mingine.


Aidha, Mwenda alieleza kuwa Halmashauri imeanza zoezi la upimaji wa maeneo ya Taasisi zake ikiwemo shule, zahanati, na ofisi za vijiji na kata kwa lengo la kukatia hati miliki. Zoezi hilo ni utekelezaji wa maagizo ya Kamati ya Bunge, likilenga kulinda mali za umma na kuongeza uhalali wa umiliki wa maeneo hayo.


Kwa upande wake, Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Newala, Bi Marry Twamgabo, aliipongeza Halmashauri kwa ubunifu wa kuanzisha Kampuni, akisisitiza kuwa kampuni hiyo itakuwa kichocheo cha uchumi wa ndani na chanzo kipya cha mapato. Alitoa wito kwa Madiwani na wataalamu kuongeza ushirikiano na kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wa Newala DC 

@chikaladigitaltv 

@ortamisemi 

@mtwarars_habari 

@msemajimkuuwaserikali 

@dc_newala 

@newalafmtz

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • NEWALA DC YAANZISHA KAMPUNI YA UJENZI KUONGEZA MAPATO

    January 23, 2026
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2026

    January 23, 2026
  • HAPPY NEW YEAR 2026

    December 31, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    December 04, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa