Shule ya Sekondari Lengo Ujenzi wa Madarasa mawili ukiwa katika hatua ya msingi
Shule ya Msingi Chiboni Ujenzi wa Madarasa mawili ya Shule ya Msingi Chiboni ukiwa katika hatua ya msingi,ujenzi huu unaotekelezwa kwa fedha za Mpango wa Maendeleo wa ustawi kwa taifa na Mapambano dhidi ya Uviko19
Shule ya Msingi Chiboni Muonekano wa Jengo la madarasa matatu ukiwa katika hatua ya boma,mradi huu unatekelezwa kwa nguvu ya wananchi
Shule ya Sekondari Makukwe Ujenzi wa madarasa mawili ukiwa katika hatua za umaliziaji,madarasa haya yamejengwa kwa fedha za Tozo za miamala ya simu
Shule ya Sekondari Makukwe Ujenzi wa madarasa mawili ukiwa katika hatua ya msingi,ujenzi huu unatekelezwa kwa fedha za UVIKO19
Shule ya Sekondari Maputi ujenzi wa madarasa mawili ukiwa katika hatua ya kupandisha boma
Shule ya Sekondari Maputi Muonekano wa Maabara,Ujenzi huu umetekelezwa kwa fedha za Mfuko wa Elimu na SEQUIP
Shule ya Msingi Mpirani Shikizi Ujenzi wa Madarasa mawili ukiwa hatua ya uwekaji mawe juu ya Msingi,ujenzi huu unatekelezwa kwa fedha za UVIKO19
Shule ya Msingi Mpirani Shikizi Ujenzi wa Madarasa mawili ukiwa katika hatua ya boma,ujenzi huu unatekelezwa kwa nguvu ya wananchi
Shule ya Sekondari Mpotola Ujenzi wa madarasa mawili ukiwa katika hatua ya kupandisha ukuta,Mradi huu unatekelezwa kwa fedha zaUVIKO19
Shule ya Sekondari Mpotola jengo hili likiwa katika hatua ya umaliziaji,limejengwa kwa feha za mfuko wa Elimu na Tozo za miamala ya simu
Shule ya Sekondari Mpotola Jengo hili limekamilika,limjengwa kwa fedha za EP4R PHASE9-2020/2021
Shule ya Sekondari Mpotola Madarasa haya mawili yamekamilka na yanatumika,mradi huu umetekelezwa kwa fedha za EP4R 2019-2020
Shule ya Sekondari Mtopwa Ujenzi wa Madarasa manne ukiwa katika hatua za maandalizi ya kujaza jamvi(zege) kwa maaana ya upangaji mawe na usukaji wa nondo
Shule ya Sekondari Mtopwa Maabara ikiwa tayari kwa matumizi ,mradi huu umetekelezwa kwa fedha za Mfuko wa Elimu
Shule ya Sekondari Ushirika Ujenzi wa madarasa mawili ukiwa katika hatua ya kupandisha boma,Mradi huu unatekelezwa kwa fedha za UVIKO19
Shule ya Msingi Chiboni tarehe 29/11/2021 ujenzi huu wa madarasa mawili ya Shule ya Msingi Chiboni upo katika hatua ya kupandisha ukuta(Boma)
Shule ya Sekondari Lengo kwa tarehe 29 Novemba,2021,hatua ya ujenzi wa madarasa mawili ya Shule ya Sekondar Lengo yamefikia katika hatua ya Kuweka Linta
Shule ya Sekondari Makukwe Taarifa za tarehe 29 Nov,2021 ujenzi wa madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Makukwe umefikia hatua ya Kumwaga Linta, kama picha inavyoonyesha hapo mafundi wapo hatua ya Mwisho kumalizia kujenga ukuta
Shule ya Sekondari Maputi Ujenzi wa Madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Maputi yakiwa katika hatua ya kumwaga Linta
Shule ya Msingi Mpirani Shikizi Ujenzi wa madarasa mawili yakiwa katika hatua ya kupandisha boma tarehe:29 Nov,2021
Shule ya Sekondari Mpotola Ujenzi wa vyumba vya Madarasa Matatu kwa shule ya sekondari ya Mpotola ukiwa katika hatua ya kumwaga linta tarehe 29,Nov,2021.
Shule ya Sekondari Ushirika Ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili kwa shule ya sekondari ushirika ukiwa katika hatua ya kumwaga Linta Tarehe 29/11/2021
Shule ya Sekondari Vihokoli Ujenzi wa Vyumba vya madarasa mawili kwa shule za sekondari Vihokoli ukiwa katika hatua ya kumwaga Linta Tarehe 29/11/2021
Shule ya Sekondari Mtopwa Ujenzi wa vyumba vya madarasa manne kwa Shule ya Sekondari Mtopwa ukiwa katika hatua za ukamilishaji wa kupandisha Boma Tarehe 29/11/2021
Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa matatu(03) kwa Shule ya Sekondari Mpotola,hali ya Jengo inavyooneka kwa Tarehe 14/12/2021 likiwa katika hatua za mwishoni
Ujenzi wa Vyumba viwili vya Madarasa kwa shule ya Msingi Mpirani(SHIKIZI),Mradi huu unatekelezwa kwa Fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(16/12/2021)
Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Mawili kwa shule ya Sekondari Vihokoli,Mradi huu unatekelezwa chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(16/12/2021)
Ujenzi wa Vyumba viwili kwa Shule ya Msingi Mnauke(SHIKIZI).Mradi huu unatatekelezwa kwa Fedha za Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(16/12/2021)
Ukamilishwaji wa Jengo la Vyumba Viwili kwa Shule ya Sekondari ya Makukwe,Ujenzi huu unatekelezwa kwa Fedha za Ushuru wa Tozo(16/12/2021)
Ujenzi wa Vyumba viwili vya Madarasa kwa Shule ya Sekondari Makukwe.Mradi huu unatekelezwa kwa fedha za Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(16/12/2021)
Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa kwa shule ya Msingi Dododma(SHIKIZI).Mradi huu unatekelezwa kwa Fedha za Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(16/12/2021)
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa kwa Shule ya Sekondari Chitekete.Mradi huu upo chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(16/12/2021)
Ujenzi wa Vyumba vitatu(3) vya Madarasa kwa Shule ya Sekondari Mpotola,Mradi huu unatekelezwa chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(14/12/2021)
Ukamilishwaji wa Jengo la Madarasa Mawili kwa Fedha za Ushuru wa Tozo,lipo katika hatua ya uwekaji marumaru(14/12/2021)
Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa kwa Shule ya Sekondari Maputi.Mradi huu unatekelezwa chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19
Ujenzi wa vyumba vya Madarasa Mawili kwa Shule ya Sekondari Mkoma.Mradi huu unatekelezwa kwa Fedha za Mpango wa Maendeleo na Ustawi kwa Taifa na Mapambo dhidi ya UVIKO19(14/12/2021)
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa kwa Shule ya Sekondari Mikumbi.Mradi huu upo chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(14/12/2021)
Ujenzi wa Vyumba Vinne vya Madarasa kwa Shule ya Sekondari Mnyambe,Mradi huu unatekelezwa chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mpambano dhidi ya UVIKO19(14/12/2021)
Ujenzi wa vyumba viwili vya Madarasa kwa shule ya Sekondari Ushirika.Mradi huu upo chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO19(14/12/2021)
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa kwa shule ya Msingi Chiboni(SHIKIZI).Mradi huu upo chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(14/12/2021)
Shule ya Sekondari Maputi,Muonekano wa Jengo la Shule ya Sekondari Maputi likiwa limekamilika,Jengo hili lina Madarasa Mawili na Ofisi Moja.Jumla ya kiasi cha Tsh. kimetumika kugharamia Vyumba vya Madarasa Mawili na Ofisi Moja,Fedha hizi zimetolewa na Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(27/12/2021)
Shule ya Sekondari Lengo,Jengo la Vyumba vya Madarasa Mawili na Ofisi Moja la Shule ya Sekondari Lengo likwa limekamilika,Gharama zilizotumika kufanikisha mradi huu ni kiasi cha Tsh....Fedha zilizotolewa chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(27/12/2021)
Shule ya Sekondari Mpotola,Jengo lenye vyumba vitatu vya Madarasa na Ofisi Mmoja likiwa limekamilika,Jengo hili limejengwa chini ya Mradi wa Maendeleo wa Ustawi kwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19,Gharama zilizotumika kukamilisha jengo hili ni Kiasi cha Tsh.(27/12/2021)
Shule ya Sekondari Ushirika,Jengo la vyumba viwili vya Madarasa na Ofisi Moja likiwa limekamilika,Gharama zilizotumika kujenga jengo hili ni KIasi cha Tsh..Fedha hizi zimetolewa chini ya Mpango wa Maendeleo wa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO19(27/12/2021)
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa