Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Newala pamoja na maafisa ugani Kilimo wakiwa katika mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu kwenye mazao ya kilimo yaliyofanyika chuo cha Ualimu Kitangari. Mafunzo hayo yamefanywa na wawezeshaji kutoka Wizara ya kilimo
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa