• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Wasifu

Ndugu Duncan Golden Thebas
Mkurugenzi Mtendaji

Maelezo

Elimu

Ndg. Duncan Golden Thebas alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Bukinga iliyopo Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya kuanzia mwaka 1976 hadi 1982. Pia alijiunga na elimu ya sekondari katika shule ya Sekondari Rungwe iliyopo Mkoa wa Mbeya kuanzia mwaka 1983 hadi 1986. Mwaka 1987 mpaka 1989 alijiunga na shule ya Sekondari Minaki kwa masomo ya kidato cha tano na cha sita.

Aidha, mwaka 1991 hadi 1994 alijiunga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akapata Shahada ya Uchumi ‘Bachelor of Arts in Economics’. Mwaka 2006 hadi 2008 aliendelea kusoma katika Chuo Kikuu cha Mzumbe na kuchukua Shahada ya pili ya Uchumi ‘Masters of Science in Economics – Economics Policy and Planning' .

Kazi.

  • Mwaka 1995 mpaka 2002 Afisa Mipango II katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.
  • Mwaka 2002 mpaka 2012 Mkuu wa Idara ya Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Kihama.
  • Mwaka 2012 mpaka 2016 Mkuu wa Idara ya Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
  • Mwaka 2016 mpaka 2019 Mchumi Mkuu, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
  • Mwaka 2019 mpaka Julai 2020 Mkuu wa Idara ya Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
  • Julai 2020 mpaka sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala





Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO WAHUDUMIA WAGONJWA 319 NEWALA DC

    March 24, 2025
  • MIAKA 4 YA RAIS DKT. SAMIA SALUHU HASSAN AMEBORESHA HUDUMA ZA AFYA

    March 19, 2025
  • NEWALA DC YANUFAIKA NA JENGO LA UTAWALA,WATUMISHI

    March 18, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa