• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

RC MTWARA SAWALA AIPONGEZA NEWALA DC KUPATA HATI SAFI YA UKAGUZI WA CAG

Posted on: July 3rd, 2024

NEWALA, MTWARA

Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Kanali Patrick Sawala ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Newala kwa kupata hati safi kutokana na Usimamizi nzuri wa mapato na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kufuata miongozo ya Serikali katika kuwahudumia wananchi.

 Mhe Sawala ametoa pongezi hiyo Juni 27,2024 wakati wa kikao maalum cha Baraza la Madiwani cha kupokea na kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali (CAG) kilichofanyika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Kitangari.

" Niendelee kutoa hongera kwa kutekeleza maagizo ya Serikali na miongozo ambayo inasema Halmashauri zetu zinatakiwa kutenga asilimia 40 kwa ajili ya Vijana,wanawake na watu wenye mahitaji maalum na kweli  nimeona kwenye taarifa ya makusanyo yenu ya ndani mmetenga shilingi Milioni 85 kwa ajili ya makundi hayo lakini pia nimeona mmetenga shilingi Milioni 255 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na fedha zimepelekwa kwenye miradi Hongereni sana " amesema Kanali Sawala .

 Aidha amewaomba Madiwani kuhakikisha miradi yote inasimamiwa na kukamilika kwa wakati huku akiitaka Halmashauri kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuwahudumia wananchi ili wapate huduma Bora.

  Kwa upande wake Kaimu  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali (CAG) Ndugu Geofrey Mwamba ambaye alisoma taarifa ya ukaguzi  amesema  kwa miaka 3 kuanzia 2020/2021,2021/2022, 2022/2023 Halmashauri ya Wilaya ya Newala ilikarikadiria kukusanya mapato zaidi ya  Bilioni 5.254 kutoka vyanzo vya ndani vya mapato ambapo ilifanikiwa kukusanya zaidi ya  Bilioni 4.282 sawa na asilimia 76 ya bajeti.

Ndugu Mwamba ameipongeza Halmashauri kwa kutekeleza vizuri bajeti yake hadi kufanikiwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ikiwa ni mara  4 mfulurizo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO WAHUDUMIA WAGONJWA 319 NEWALA DC

    March 24, 2025
  • MIAKA 4 YA RAIS DKT. SAMIA SALUHU HASSAN AMEBORESHA HUDUMA ZA AFYA

    March 19, 2025
  • NEWALA DC YANUFAIKA NA JENGO LA UTAWALA,WATUMISHI

    March 18, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa