Halmashauri ya wilaya ya Newala imetoa shukrani kwa Waziri wa Ulinzi na Jkt Stergomena Tax kwa kuipatia Shule ya Sekondari Nanda kompyuta 10 kwa ajili ya wanafunzi kujifunzia.
Msaada huo ni utekelezaji wa ahadi yake aliyotoa wakati wa ziara yake ya uzinduzi wa miradi ya maendeleo baada ya kupokea maombi ya kutoka kwa Mbunge wa jimbo la Newala vijijini Mhe Maimuna Mtanda Oktoba 8 ,2024
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa