• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI HALMASHAURI YA WILAYA AKITO MAELEKEZO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: September 27th, 2024

NEWALA, MTWARA

Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Newala, Ndugu Duncan Thebas amekutana na Viongozi wa dini, Siasa na Wazee katika kikao cha kutoa maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri.


Thebas ametumia kikao hicho kuwapa taarifa  wananchi kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika Novemba 27,2024 siku ya jumatano na kazi ya uandikishaji wa wapiga kura utafanyika tarehe 11-20 Oktoba 2024 kuanzia saa 2.00 asubuhi mpaka saa 12 jioni ,ambapo kazi hiyo itafanyika katika vitongoji vyote 302 katika vijiji 107 vilivyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Newala.


Aidha  kutokana na umuhimu wa uchaguzi huu,amewahimiza Viongozi wa dini,siasa na wazee walioshiriki kikao kwenda kuhamasisha  wakazi wote wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kujiandikisha kwenye orodha ya wapiga kura na kushiriki uchaguzi kwa amani ili kuwapata viongozi bora.


"Tanzania ni kisiwa cha amani,nendeni mkahamasishe wananchi kujiandikisha na kushiriki uchaguzi pamoja na kulinda amani na usalama wa nchi hii" amesema Thebas.


 Msimamizi Duncan Thebas  amewahakikishia Viongozi wa siasa kuwa atasimamia na kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa 27,2024 unafanyika kwa kufuata mwongozo wa uchaguzi ambao umefafanua taratibu na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika ngazi za msingi.

@ortamisemi

@mtwarars_habari

@dc_newala

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • NEWALA DC YATOA SHUKRANI KWA MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

    June 04, 2025
  • Utekezaji wa Ujenzi mpya ya Sekondari Mtunguru

    May 29, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    May 29, 2025
  • UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

    May 27, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa