• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Mkutano wa baraza la wafanyakazi wafanyika Halmashaur ya Wilaya ya Newala

Posted on: February 5th, 2020

Mkutano wa baraza la wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Newala limefanyika leo tarehe 05/02/2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha ualimu Kitangari.

Katika mkutano huo, wajumbe walipitisha rasimu ya bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Newala kwa mwaka wa fedha 2020/2021 na kupitia na kuhuisha mkataba wa kuunda baraza la wafanyakazi.

Wakiendelea na mkutano huo, wajumbe walipata nafasi ya kuwachagua viongozi wawili katibu na katibu msaidizi ambapo Bi. Zuhura Kumatu alichaguliwa kuwa katibu na Bw. Abdallah Machacha alichaguliwa kuwa katibu msaidizi wa baraza la wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Newala kwa miaka mitatu kuanzia mwaka  2020 hadi 2022.

Katika mijadala mbalimbali iliyofanyika kwenye mkutano huo, wajumbe walisisitiza kutilia mkazo katika upandishwaji wa madaraja kwa watumishi na kupewa thamani kwa watendaji wa vijiji na kata kwa kulipwa posho za kufanya kazi kwa saa za ziada kwa kuwa wao ndio walinzi wa amani katika maeneo yao ya kazi.

Mkutano huo baraza la wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Newala upo kisheria na umehudhuriwa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala, wakuu wa idara na vitengo, wajumbe wa vyama vya wafanyakazi wa mkoa na wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Newala.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO WAHUDUMIA WAGONJWA 319 NEWALA DC

    March 24, 2025
  • MIAKA 4 YA RAIS DKT. SAMIA SALUHU HASSAN AMEBORESHA HUDUMA ZA AFYA

    March 19, 2025
  • NEWALA DC YANUFAIKA NA JENGO LA UTAWALA,WATUMISHI

    March 18, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa