• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

MBUNGE MTANDA AKABIDHI KOMPYUTA SHULE YA SEKONDARI NANDA NEWALA DC

Posted on: January 2nd, 2025

Mbunge wa Jimbo la Newala vijijini Mhe. Maimuna Mtanda leo January 02, 2025 amekabidhi kompyuta 10 katika shule ya Sekondari Nanda  iliyopo kata ya Muungano Halmashauri ya wilaya ya Newala ili ziwasaidie wanafunzi kujifunza somo la TEHAMA


Akikabidhi kompyuta hizo Mhe Mtanda ameishukuru serikali na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt.Stergomena Tax ambaye aliahidi kutoa Kompyuta hizo wakati alipofanya Ziara na kuzindua shule hiyo baada ya kupokea maombi kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Newala vijijini Mhe.Maimuna Mtanda .


Aidha Mhe Mtanda amewaasa wananchi wa kata ya Muungano kuiunga mkono serikali na chama cha mapinduzi kwani serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia  imekuwa ikitatua kero za wananchi na kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wakati.


Sambamba na hilo katika kuunga mkono jitihada za serikali katika suala la elimu Mhe Mtanda pia amekabidhi rimu za karatasi  kwa ajili ya shughuli za ofisi na Mipira miwili katika shule hiyo ili iwasaidie kukuza michezo.


Kwa upande wa Afisa Takwimu Elimu ya sekondari Ndugu Salumu Mnuwone ambaye alipokea kompyuta hizo kwa niaba ya Mkurugenzi amemshukuru Mbunge Mtanda kwa kufanikisha upatinaji wa Kompyuta hizo na kazi nzuri ya  kuchochea maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Newala.

@ortamisemi

@msemajimkuuwaserikali

@mtwarars_habari

@dc_newala

@s.l.tax

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO WAHUDUMIA WAGONJWA 319 NEWALA DC

    March 24, 2025
  • MIAKA 4 YA RAIS DKT. SAMIA SALUHU HASSAN AMEBORESHA HUDUMA ZA AFYA

    March 19, 2025
  • NEWALA DC YANUFAIKA NA JENGO LA UTAWALA,WATUMISHI

    March 18, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa