• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yafana Halmashauri ya Wilaya ya Newala

Posted on: June 25th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Newala leo Jumanne tarehe 25 Juni 2019 imefanya kilele cha maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala.

Maadhimisho hayo ambayo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Newala Bi. Aziza Mangosongo yalienda sambamba na maonesho ya shughuli na utoaji wa huduma wa idara na vitengo vyote vya Halmashauri ya Wilaya ya Newala.

Maadhimisho hayo yamefanywa kwa Idara na Vitengo hivyo kukutana na watumishi katika maeneo ya kazi na kusikiliza maoni na changamoto wanazokutana nazo katika utekelezaji wa majukumu yao na wadau mbalimbali kujua shughuli zinazotekelezwa na Halmashauri kwa ujumla.

Mhe. Mangosongo aliweza kukagua, kuona na kupata maelezo kuhusu shughuli zinazofanywa na idara na vitengo mbalimbali kwa kukagua meza maalum zilizopangwa kuonesha shughuli hizo.

Maadhimisho hayo yalihudhuriwa pia na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala Bw. Mussa Chimae, Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Newala, mwakikishi wa Katibu wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Newala, Wakuu wa Idara na Vitengo, watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Newala, waandishi wa Habari na wananchi kwa ujumla.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma kwa mwaka huu 2019 ni "Uhusiano kati ya uwezeshaji wa vijana na usimamizi wa masuala ya uhamiaji: Kujenga utamaduni wa Utawala Bora, matumizi ya TEHAMA na ubunifu katika utoaji wa huduma jumuishi."


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • NEWALA DC YAPOKEA MITUNGI YA GESI

    June 24, 2025
  • MKUTANO MAALUM WA KUVUNJA BARAZA LA MADIWANI

    June 21, 2025
  • MKUTANO MAALUM WA KUVUNJA BARAZA LA MADIWANI

    June 21, 2025
  • MKUTANO MAALUM WA KUVUNJA BARAZA LA MADIWANI

    June 21, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa