• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

LANDSBERG UJERUMANI YAENDELEA KUCHANGIA MAENDELEO NEWALA DC

Posted on: February 13th, 2026

Marafiki wa Landsberg kutoka Ujerumani wamekabidhi vitendea kazi vya mifumo ya solar kwa Halmashauri ya Wilaya ya Newala kama sehemu ya kuimarisha miradi ya maendeleo katika sekta za afya na elimu. Makabidhiano hayo yalifanyika Februari 10, 2026 katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kilichojadili na kupitia Rasimu ya bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027, yenye makadirio ya Shilingi bilioni 25.7 ambazo zimepangwa kutekeleza miradi ya maendeleo na kuboresha huduma za kijamii.


Vifaa hivyo vilikabidhiwa kwa niaba ya Wafadhiri wa Wananchi wa Ujerumani na Mratibu wa Landsberg Tanzania, Ndugu Sigfried Jordan Hittu na kuwakabidhi Viongozi wa Newala akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mheshimiwa Mwangi Rajabu Kundya, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Ndugu Duncan Thebas.


Aidha, viongozi hao walivikabidhi kwa mafundi wa mifumo ya solar watakaosimamia matengenezo katika maeneo yenye miradi ya afya na elimu inayotumia Nishati ya Solar inayofadhiliwa na Marafiki wa Landsberg. Viongozi hao waliishukuru Landsberg na wananchi wa Ujerumani kwa msaada huo, wakisema umeimarisha zaidi mahusiano na ushirikiano baina ya Landsberg na Halmashauri ya Wilaya ya Newala katika kuboresha huduma kwa wananchi.

@tamisemi 

@msemajimkuuwaserikali 

@mtwarars_habari 

@dc_newala 

@landkreis.landsberg

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC KUNDYA AKABIDHI MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

    February 13, 2026
  • LANDSBERG UJERUMANI YAENDELEA KUCHANGIA MAENDELEO NEWALA DC

    February 13, 2026
  • BAJETI MPYA NEWALA DC

    February 12, 2026
  • BAJETI YA NEWALA DC BILIONI 25.7 KWA MWAKA 2026/2027

    February 12, 2026
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa