• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Kamati ya siasa ya Mkoa wa Mtwara yaridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM Halmashauri ya Wilaya ya Newala

Posted on: February 4th, 2020

Kamati ya siasa ya Mkoa wa Mtwara ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wa Mkoa wa Mtwara Ndugu Yusufu Nannila leo tarehe 04/02/2020 imefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala.

Ziara hiyo imehusisha ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ikiwa ni ahadi ya CCM katika kuwaletea wananchi maendeleo.

"Nchi nzima, sisi wenyeviti wa CCM Mkoa tunazunguka kwenye miradi hii ya mkakati na ya kawaida kuangalia jinsi ambavyo Serikali ya awamu ya tano imeweza kupeleka miradi katika kila eneo." Amesema ndugu Nannila.

Akihitimisha ziara hiyo kwa Wilaya ya Newala, ndugu Nannila ameeleza kuwa moja ya utaratibu wa sherehe ya mwaka huu 2020 ya kufikisha miaka 43 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi ni kuangalia pesa za Serikali  zilizokwenda kwenye miradi ya maendeleo zimefanya nini.

"Niipongeze Serikali yangu ya Chama cha Mapinduzi, chini ya Mhe. Rais wangu na mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa sababu haya si kwamba amefanya Kitangari na Newala tu, amefanya nchi nzima." Amesema ndugu Nannila.

Ziara ya kamati ya siasa ya Mkoa wa Mtwara katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala imehusisha ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa chuo cha ualimu Kitangari uliogharimu shilingi bilioni nane na milioni mia mbili na sitini na tisa na ujenzi wa nyumba ya walimu mbili kwa moja, vyumba viwili vya madarasa na matundu sita ya vyoo katika shule ya msingi Sijaona iliyopo katika kata ya Mtopwa wenye thamani ya shilingi milioni tisini na sita na laki sita.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO WAHUDUMIA WAGONJWA 319 NEWALA DC

    March 24, 2025
  • MIAKA 4 YA RAIS DKT. SAMIA SALUHU HASSAN AMEBORESHA HUDUMA ZA AFYA

    March 19, 2025
  • NEWALA DC YANUFAIKA NA JENGO LA UTAWALA,WATUMISHI

    March 18, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa