• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Hongera Newala DC kwa kufanya vizuri kwenye viashiria vya afya – Mhe. Ummy Mwalimu

Posted on: December 6th, 2018

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Newala kwa kufanya vizuri katika viashiria vikuu vya Afya.

Akizungumza katika kikao maalumu na uongozi wa Wilaya, watumishi wa Halmashauri pamoja na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika Wilaya ya Newala, Mhe. Ummy Mwalimu alitoa pongezi hizo baada ya kusikia mafanikio hayo kutoka katika taarifa ya Wilaya iliyosomwa kwake na Mkuu wa Wilaya ya Newala Bi. Aziza Mangosongo.

Kwa mwaka 2018, kuanzia mwezi Januari, Halmashauri ya Wilaya ya Newala imetoa chanjo ya kujikinga na ugonjwa wa surua kwa asilimia 95, chanjo ya magonjwa ya watoto kwa asilimia 135, vifo vya mama wajawazito hakuna , vifo vya watoto wachanga 19 na vifo vya watoto chini ya miaka mitano vinne tu.

Mhe. Ummy Mwalimu, alieleza kuwa taarifa inaonyesha Halmashauri ya Wilaya ya Newala ina upungufu wa watumishi wa sekta ya Afya kwa asilimia 71 lakini hao wachache waliopo wanajitahidi kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi.

Pia, Mhe. Mwalimu aliahidi Serikali kuleta mashine mpya ya ‘x-ray’. katika hospitali ya Wilaya ya Newala ili kuongeza utoaji bora wa huduma za afya kwa wakazi wa Wilaya ya Newala

Ziara hiyo ya kikazi ya Mhe. Mwalimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala ilikuwa na lengo la kuangalia hali ya huduma ya afya katika eneo Halmashauri na kuhamasisha wananchi wa Newala ambao wengi ni wakulima  kujiunga na fao la Ushirika Afya ambayo ni bima itakayowawezesha wakulima kutibiwa kwa  mwaka mzima katika hospitali yoyote iliyopo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ada ya Tsh. 76,800 tu kwa mtu mmoja

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Utekezaji wa Ujenzi mpya ya Sekondari Mtunguru

    May 29, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    May 29, 2025
  • UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

    May 27, 2025
  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa