• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

DC NEWALA APOKEA MSAADA WA KOMPYUTA 20 ZA WAZIRI WA ULINZI DKT STERGOMENA

Posted on: October 20th, 2024

NEWALA, MTWARA

Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara, imepokea Kompyuta 20 kwa ajili ya shule ya Sekondari Nanda Newala DC na Shule ya Sekondari Tulindane iliyopo Newala TC ambapo kila shule imenufaika kompyuta 10.


  Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Patrick Sawala amekabidhi Kompyuta hizo Oktoba15,2024 kwa niaba ya Waziri Tax na kupokelewa na Mkuu wa wilaya ya Newala Alhaj Rajabu kundya ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyotoa wakati alipofanya ziara Wilaya ya Newala Oktoba 8,2024.


 Kundya ametoa shukrani kwa Waziri Tax kwa kutekeleza ahadi yake kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kujifunza masomo ya TEHAMA

 Ikumbukwe kuwa Waziri Tax wakati akizindua shule ya Sekondari Nanda iliyopo Newala DC,Mbunge wa Jimbo la Newala Vijijini mhe Maimuna Mtanda alimuomba Waziri kusaidia shule hiyo Kompyuta kwa ajili wanafunzi kunifunza TEHAMA na Waziri alipokea maombi hayo na kuahidi kutoa kompyuta.


Aidha katika Mkoa wa Mtwara shule 3 zimenufaika na msaada wa Kompyuta ikiwemo shule ya Sekondari Saboodo ambayo imepata Kompyuta 10 na kufanya jumla ya Kompyuta 30 zilizotolewa na Waziri Tax.


Mhe Sawala amewasihi wakuu wa wilaya na wasaidizi wao kuhakikisha kompyuta hizo zinatunza vyema ili ziweze kuwasaidia wanafunzi kupata Maarifa mapya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • NEWALA DC YATOA SHUKRANI KWA MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

    June 04, 2025
  • Utekezaji wa Ujenzi mpya ya Sekondari Mtunguru

    May 29, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    May 29, 2025
  • UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

    May 27, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa