• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

DC KUNDYA AKABIDHI MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

Posted on: February 13th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mheshimiwa Alhaji Rajabu Kundya, amekabidhi unga wa sembe, sabuni na bidhaa nyingine za matumizi ya kila siku kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Ndugu Duncan Thebas, kwa ajili ya wanafunzi wa Kitengo cha Elimu Maalumu katika Shule ya Msingi Kitangari. Tukio hilo lilifanyika Februari 10, 2026 na ni sehemu ya mchango wa wachukuzi wa korosho wanaoendelea kuunga mkono jitihada za kusaidia makundi maalumu katika jamii.


Akizungumza wakati wa makabidhiano, Mheshimiwa Kundya alisisitiza umuhimu wa kuwajali watoto wenye mahitaji maalumu na kuhakikisha wanapata elimu bora katika mazingira rafiki. Pia aliagiza Halmashauri kuboresha miundombinu na huduma zinazowawezesha watoto hao kujifunza kwa ufanisi.


Baada ya kupokea msaada huo, Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Duncan Thebas alikabidhi kwa walimu wa shule hiyo kwa niaba ya wanafunzi. Walimu walitoa shukrani kwa Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya na wachangiaji wote kwa msaada uliotolewa, wakisema utaboresha mazingira ya ujifunzaji na ustawi wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu.

@tamisemi

@mtwarars_habari

@msemajimkuuwaserikali

@dc_newala

@newalafmtz

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC KUNDYA AKABIDHI MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

    February 13, 2026
  • LANDSBERG UJERUMANI YAENDELEA KUCHANGIA MAENDELEO NEWALA DC

    February 13, 2026
  • BAJETI MPYA NEWALA DC

    February 12, 2026
  • BAJETI YA NEWALA DC BILIONI 25.7 KWA MWAKA 2026/2027

    February 12, 2026
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa