• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

BAJETI YA NEWALA DC BILIONI 25.7 KWA MWAKA 2026/2027

Posted on: February 12th, 2026

Baraza Maalum la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Newala, jana Februari 11, 2026, limejadili na kuidhinisha Rasimu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya Shilingi bilioni  25.7, inayolenga kuimarisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuboresha huduma kwa wananchi wa Wilaya ya Newala.


Rasimu hiyo iliwasilishwa na Mkuu wa Idara ya Mipango wa Halmashauri, Bw. Sylvester Ngonyani, ambapo alieleza kuwa bajeti hiyo imezingatia miongozo ya Serikali, vipaumbele vya maendeleo vya taifa, na mahitaji halisi ya jamii katika sekta za elimu, afya, miundombinu na ustawi wa jamii.


Akizungumza katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Mheshimiwa Siwanina Jazari, alisisitiza umuhimu wa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwezesha utekelezaji wa bajeti kwa ufanisi. Alisema kuimarishwa kwa vyanzo vya mapato kutasaidia Halmashauri kutekeleza miradi ya maendeleo na kuongeza ubora wa huduma zinazotolewa kwa wananchi.


Aidha, Mheshimiwa Jazari aliwataka Wakuu wa Idara na Vitengo kuhakikisha usimamizi madhubuti wa mapato, uwajibikaji wa watendaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. Alisisitiza kuwa ushirikiano wa watendaji ni msingi wa kufanikisha malengo ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi wa Wilaya ya Newala.

@tamisemi

@mtwarars_habari

@msemajimkuuwaserikali

@chikaladigitaltv

@dc_newala

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC KUNDYA AKABIDHI MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

    February 13, 2026
  • LANDSBERG UJERUMANI YAENDELEA KUCHANGIA MAENDELEO NEWALA DC

    February 13, 2026
  • BAJETI MPYA NEWALA DC

    February 12, 2026
  • BAJETI YA NEWALA DC BILIONI 25.7 KWA MWAKA 2026/2027

    February 12, 2026
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa