• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

MAKABIDHIANO YA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA VIJIJI

Sunday 1st, June 2025
@NEWALA DC

MWENYEKITI WA HALMSAHAURI YA WILAYA YA NEWALA MH. MFAUME T. LADA  LEO TAREHE 12/07/2023 AMEKABIDHI ZAWADI YA PIKIPIKI AINA YA TVS KWA WATENDAJI WA VIJIJI VINNE(4) VILIVYOFANYA VIZURI KATIKA MAKUSANYO YA MAPATO YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 ZENYE THAMANI YA SHILINGI 11,400,000/=

AIDHA PIKIPIKI HIZO ZIMEKABIDHIWA KWA VIJIJI VYA KITANGARI HOSPITALI,MPWAPWA,NAMBALI NA KIJIJI CHA MAKUKWE.

ZOEZI LA MAKABIDHIANO HAYO YAMESHUHUDIWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA NDUGU DUNCAN G. THEBAS,WAKUU WA IDARA NA VITENGO,WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI PAMOJA NA WATUMISHI MBALIMBALI.

PIA KUTOLEWA KWA ZAWADI HIZO NI MWENDELEZO WA MKAKATI WA HALMASHAURI KUTOA MOTISHA KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI ILI KUCHOCHEA UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA December 29, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILII WA MAHOJIANO January 06, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2021 MNYAMBE SEKONDARI July 10, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 22, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Utekezaji wa Ujenzi mpya ya Sekondari Mtunguru

    May 29, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    May 29, 2025
  • UTEKEZAJI WA ILANI YA CCM

    May 27, 2025
  • RAIS SAMIA AMEBORESHA SEKTA YA ELIMU NEWALA DC

    March 25, 2025
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Kitangari,Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa