Posted on: October 8th, 2019
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala Mhe. Chitwanga Ndembo, leo tarehe 08/10/2019 amezindua rasmi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika daftari la orodha ya wapiga kura kwa kujiandikish...
Posted on: October 6th, 2019
Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na waandikishaji wa wapiga kura wametakiwa kufuata kanuni zinazowaongoza ili kufanikisha majukumu yao.
Hayo yamesemwa na Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangoso...
Posted on: October 3rd, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Newala siku ya Jumatano tarehe 02/10/2019 imepongezwa kwa kufanya vizuri katika utekelezaji wa miradi saba (7) iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru.
Pongezi hizo zimetolewa na ki...