• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Mfuko wa elimu waendelelea kuimarisha sekta ya elimu Newala

Posted on: February 15th, 2021

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala Mhe. Mfaume Tamimu Ladda leo tarehe 15/02/2021 amekabidhi viti na meza 500 kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi wa shule za Sekondari Mpotola, Mnyambe, Lengo, Makukwe, Maputi na Mtopwa.

Akikabidhi viti na meza kwa shule hizo sita, Mhe. Ladda amewataka walimu na wanafunzi kutunza viti na meza hizo na kuhakikisha haviharibiki.

Makabidhiano hayo yamehusisha Lengo sekondari viti na meza 100; Makukwe sekondari viti 120 na meza 100; Maputi sekondari viti 40 na meza 60; Mnyambe sekondari viti na meza 80; Mpotola sekondari viti na meza 100; na Mtopwa sekondari viti na meza 60.

Hii ni awamu ya kwanza ya mgao wa viti na meza kwa shule hizo sita, na awamu ya pili itahusisha ugawaji wa viti na meza 150 kwa shule za Sekondari Chihangu, Malatu, Mkoma, Mpelepele na Vihokoli.

Makabidhiano hayo kwa wakuu wa shule zote sita yamefanyika katika shule ya sekondari Mpotola ikiwa ni jitihada za Halmashauri ya Wilaya ya Newala kupitia fedha za mfuko wa elimu ili kudhibiti upungufu wa viti na meza kwa baadhi ya shule za sekondari zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA January 15, 2021
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 23, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI December 02, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 13, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Mfuko wa elimu waendelelea kuimarisha sekta ya elimu Newala

    February 15, 2021
  • Uzinduzi wa Upandaji wa miti Mkoa wa Mtwara wafanyika Newala.

    February 13, 2021
  • Kamati ya Siasa Wilaya ya Newala yaridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM Newala

    February 04, 2021
  • Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Newala lapitisha makadirio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    January 28, 2021
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa